Kuza JUKWAA lako MTANDAONI

Ni kitabu chenye kurasa 9 tu ambacho ndani yake imeelezea namna ya kupata wafuasi wengi ndani ya muda mfupi katika mitandao ya kijamii. 

  • Kanuni ya 80/20 inayotumiwa na wafanyabiashara nguli duniani.
  • Namna ya kupata maudhui kutokana na shughuli unayofanya kwa haraka.
  • Tovuti za bure za kutengenezea matangazo bila ya kuwa na ujuzi wa graphic design (hata kwa simu tu)

Info

Duration project: 3 days

Oasis Self Project

Advertise

Read more

Are you looking for